a
Mt 22:4
;
Mit 9:2
;
Dan 7:14
;
Mwa 29:22
;
Za 36:8
Isaiah 25:6
6
a
Juu ya mlima huu
Bwana
Mwenye Nguvu Zote ataandaa
karamu ya vinono kwa mataifa yote,
karamu ya mvinyo wa zamani,
nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana.
Copyright information for
SwhNEN